Maalim Seif: Nitajenga taifa lenye umoja, usawa na haki

  Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema anakusudia kujenga taifa lenye umoja, usawa na haki bila ya ubaguzi wa aina yoyote. Akihutubia mkutano wa kampeni za chama hicho uliofanyika viwanja vya Mwambe jimbo la Kiwani, amesema kwa kipindi kirefu wananchi wamekuwa wakinyimwa haki zao…

Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Juzi, tarehe 27 Septemba, 2015 wakati anahutubia mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) huko Mkokotoni, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Dk. Ali Mohamed Shein, ametoa matamko ambayo ni dhahiri yanaashiria kwamba yeye na chama chake hawako tayari kwa uchaguzi huru,…

Maalim Seif aahidi kutokomeza ajira za Watoto

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameelezea kusikitishwa na ajira za watoto zinazoendelea katika Wilaya ya Micheweni. Amesema ajira hizo hazifai na zinapaswa kupigwa vita kwa kulinda afya na ustawi wa watoto nchini. Maalim Seif ameeleza hayo wakati wa ziara yake ya kutembelea vikundi vya ujasiriamali katika Wilaya ya…

CUF yavuna wanachama kisiwani Pemba

  Chama Cha Wananchi CUF kimevuna wanachama wapya zaidi ya ┬ámia nane kutoka Wilaya ya Micheweni baadhi yao wakiwa kutoka vyama vya ADC, ACT Wazalendo na CCM. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwenye mkutano wa hadhara wa Chama hicho uliofanyika viwanja vya skuli ya Micheweni, wanachama 16 ni kutoka ADC, 17 ACT Wazalendo, 40 kutoka…