CUF Jumuia ya Vijana

Maamuzi ya baraza kuu la CUF yatangazwa,

  • Jumuiya ya Vijana yafumuliwa na kusukwa upya.

MAAZIMIO YA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA KILICHOFANYIKA SHABAN HAMISS MLOO MJINI DAR ES SALAAM TAREHE 14-15 Julai, 2012.

Yametangazwa leo tarehe 17/07/2012,Ofisi za CUF Buguruni mbele ya waandishi wa habari.

Baraza Kuu la Uongozi Taifa la The Civic United Front (CUF- Chama Cha Wananchi) limekutana katika kikao chake cha kawaida kwa mujibu wa Katiba ya Chama, kikao ambacho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa…..

Bonyeza hapa kuendea zaidi..

Advertisements

2 thoughts on “CUF Jumuia ya Vijana

  1. Nnahamu kubwa ya kutoa mchango wangu ndani ya chama cha CUF kwani nilianza kukipenda tokea mdogo, ila kwa sasa ni kijana ambae nimeshamaliza masomo yangu ngazi ya Degereee, sijui mtanisaidiaje ili kufikia ndoto zangu. niko ,machomanne chake chake PEMBA. HAKI SAWA KWA WOTE

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s