CUF ina nafasi kubwa kushinda

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema upepo wa kisiasa Zanzibar unakivumia vyema chama hicho na matarajio ni kupatapa ushindi wa kishindo ambao haujawahi kutokea wa asilimia 80 katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba. Advertisements

Taslima aitabiria mazuri CUF

Mwenyekiti wa Kamati iliyoundwa na Baraza Kuu la Chama cha Wananchi (CUF), Twaha Taslima, amesema chama hicho kitaendelea kuwa imara licha ya mwenyekiti wake, Prof. Ibrahim Lipumba, kujiuzulu.

NEC ijipambanue kama mtoa haki wa kweli

Hakuna anayeweza kubisha kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), sasa inakabiliwa na wakati mgumu pengine kuliko wakati mwingine wowote katika kipindi cha miaka 38 ya uhai wake. Tangu izaliwe kwa Katiba ya mwaka 1977 na sheria ya Bunge, NEC imekuwa ikisimamia na kuendesha chaguzi mbalimbali nchini pasipo kukabiliwa na misukosuko mikubwa kama inayojitokeza hivi…

Maalim Seif: Ushindi wangu hautachezewa

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad jana alichukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa Zanzibar kwa mara ya tano huku akisema ushindi wake hautachezewa na mtu. Mara ya kwanza Maalim Seif aliwania urais wa Zanzibar mwaka 1995 na amekuwa akifanya hivyo katika chaguzi zilizofuatia na sasa…

CUF yamtaka Kikwete kuunusuru uchaguzi

Chama cha Wananchi (CUF), kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kutotoka nje ya nchi katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ili ashughukie maandalizi yake ipasavyo. Kauli hiyo ilitolewa na mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba alipokuwa akizungumza na wakazi wa Wilaya ya Nzega katika ziara yake ya siku 10 mkoani Tabora. “Hadi sasa hakuna…

Musimuwachie Maalim Seif pekee urais – CUF

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimewataka wanachama wake wenye sifa za kugombea nafasi ya urais wa Zanzibar wajitokeze kuchukua fomu kugombea nafasi hiyo. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa chama hicho, Omar Ali Shehe, amewaambia waandishi wa habari jana kwamba, wanachama wanatakiwa wasimuachie Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharrif Hamad, kuchukua fomu ya urais peke yake.…

Police brutalised CUF officials: rights commission

Police used excessive force to disperse Civic United Front (CUF) officials and supporters early this year, according to the Commission for Human Rights and Good Governance (CHRAGG). CHRAGG says in a probe report released yesterday that police also humiliated CUF leaders, including stripping some women, as they sought to stop a demonstration on January 27.…

Doa Zanzibar

Juzi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad aliitisha mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam na kutoa tuhuma nzito dhidi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) akidai kuwa iliandikisha na kuruhusu watu wasiostahili zaidi ya 10,000 kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2010, kati ya hao, 8,507 wakiwa ni…