Jikumbushe usaliti wa CCM kwa Watanzania

Jikumbushe kuwa mababu zetu walidai uhuru wa aina ya kwanza. Uhuru wa kuwaondoa wakoloni (wageni) wasituamulie maendeleo yetu na ya nchi yetu. Kazi hii ilifanywa na Julius Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume. Tunawapongeza. Uhuru huu ni uhuru wa kuwa huru (freedom for self-determination). Baada ya hapo tuliutafuta uhuru wa aina ya pili – uhuru wa…

Vipi utaichangia CUF

Ili kukabiliana na matukio hayo tusiyoyategemea na kufanikisha matayarisho ya chaguzi, CUF inahitajia shilingi za Kitanzania bilioni 8.4 (sawa na dola milioni 7 za Kimarekani). Kima hiki ni kikubwa kwa chama pekee kukipata, ndio maana CUF inahitaji msaada wa kila mpenda mabadiliko ya kidemokrasia, haki na maendeleo ya nchi yetu.

Tujiamini tulete mabadiliko

CUF inakusudia kufanya kila lililo kweye uwezo wake kushinda uchaguzi na kuunda Serikali itakayohakikisha utawala wa sheria wenye kutekeleza haki sawa kwa wote chini ya misingi ya haki za binaadamu. Serikali hiyo haitohakikisha tu upatikanaji wa mahitaji ya msingi kama afya na elimu na maji safi, bali pia itahakikisha kuzingatia vipa umbele vya kitaifa kwa…

Kwa nini uichangie CUF

 Hivyo kazi ya CUF na wewe unayechangia ni kujenga chama imara kilicho bora, chenye kuwatetea watu, chenye matumaini mapya kwa ajili ya Watanzania wa leo na wa kesho. Wakati tunafahamu kwamba kuchangia ni jambo gumu, lakini tunaamini kwamba kutoa ni moyo na si utajiri. Ugumu wa kazi hii haulingani na umuhimu wa kuifanikisha. Hivi ni…