‘Maamuzi ya Paje’

Kile kinachoitwa “Maamuzi ya Paje” kwenye historia ya Chama cha Wananchi (CUF) ni uamuzi wa tarehe 31 Disemba 2014 uliochukuliwa na Mansoor Yussuf Himid kujiunga na CUF hadharani na kukabidhiwa rasmi kadi na Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad. PICHA ZOTE NA SHARBEYD ALLY. Advertisements

Kumbukumbu: CUF ya miaka ya ’90

Chama cha Wananchi (CUF) kilianzishwa mwaka 1992 mwaka ule ule Tanzania iliporuhusu kurudi tena mfumo wa vyama vingi vya siasa. Hata hivyo, vuguvugu la kuelekea kuanzishwa kwa CUF lilitoka mbali sana na mwaka 1992 ulikuwa mwaka tu wa kulibainisha wazi kisheria kwa kuwa ndipo serikali ilipokuwa imelazimika kuurejesha mfumo huo. 

Mauaji ya Kutisha ya 2001

Tumegundua kwamba historia ya Zanzibar sio tu inapooshwa na baadhi ya waandishi wa historia za kuunga, bali vile vile inatumiwa kuhalalisha maovu ya dola kwa jamii. Hili la mauaji ya Januari 26 na 27 lilifuatiwa na msululuu wa matukio ya unyanyasaji, ubaguzi, ukandamizaji na mateso ya kila aina. Yote haya yakifanywa na dola, na imejidhihirisha…

Whither Zanzibar?

The introduction of multi-partism ushers in the second liberation.This is liberation against forces of internal dictatorship. It is liberation against political and economic oppression, suppression of popular will and exploitation of the whole populace by those who are in the corridors of power. It is liberation against all evil deeds as manifested in decadent practices…