Mazrui rasmi meneja kampeni wa Maalim Seif

MAALIM Seif Shariff Hamad amemteua Nassor Ahmed Mazrui, msaidizi wake mkuu katika shughuli za siasa ndani ya Chama cha Wananachi (CUF), kuwa kiongozi wa timu ya kampeni ya kutafuta urais wa Zanzibar. Anaandika Jabir Idrissa. Advertisements

CUF yatangaza wagombea wa majimbo mapya

Chama cha Wananchi (CUF) kimetangaza wagombea wa nafasi ya ubunge na uwakilishi kwa majimbo 54 ya uchaguzi kwa nafasi na uwakilishi na majimbo 50 kwa nafasi ya ubunge huku kikiwatema vigogo wake, Muhammed Habibu Mnyaa na Rajabu Mbarouk kufuatia hatua ya ugawaji mpya wa mipaka ya majimbo uliofanywa na Tume ya Uchaguzi (ZEC).

Ushirikiano ni wa lazima kwa ushindi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ametoa wito kwa wanachama waliochaguliwa kugombea nafasi za Ubunge na Uwakilishi kupitia chama hicho, kushirikiana na wale wasiopata uteuzi pamoja na wanachama wote, ili kujenga mazingira bora ya ushindi katika uchaguzi mkuu ujao. Maalim Seif ametoa nasaha hizo huko hoteli ya Bwawani mjini…

Kura za maoni CUF kuanza rasmi Mei 16

TAARIFA KWA WANACHAMA WOTE WA CUF Kura za maoni za udiwani na ubunge zinaanza rasmi Jumamosi tarehe 16 Mei 2015 na zitafanyika kwa kanda na ratiba yake itatolewa kwa awamu kulingana na zoezi la uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura. Kama itabidi kuahirisha uchaguzi wa kura za maoni katika majimbo ambayo yatakuwa yametangaziwa tarehe na…

Msimamo wa Wawakilishi wa CUF kuhusu mafuta ya Zanzibar

Tarehe 18 Septemba, 2008, Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Mazingira ya Zanzibar iliitisha semina kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kujadili ripoti ya Mshauri Muelekezi, David Reading, aliyeteuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano na ya Zanzibar, kushauri namna bora ya kugawana gharama na mapato ya utafutaji na uchimbaji wa mafuta katika Jamhuri ya…

Serikali yaupuuza mkarafuu

Kwa takribani karne mbili mutawaliya, historia ya imeonesha kuwa Zanzibar imeendelea kutegemea karafuu kama zao lake la kibiashara. Lakini ni bahati mbaya kwamba, licha ya kuwa tegemeo la kiuchumi kwa visiwa hivi, Serikali ya Zanzibar imeshindwa kuchukuwa hatua madhubuti na za makusudi kuliimarisha zao hili, badala yake imekuwa iking’ang’ania udhibiti wake tu. “Mkarafuu unakabiliwa na…

SMZ haikuwatendea haki vijana wa Jua Kali

Mwezi uliopita, Julai 2008, SMZ ilitekeleza amri yake ya kuwaondosha wafanyabiashara ndogondogo katikati ya mji wa Zanzibar, Darajani, wanaojuilikana kama ‘vijana wa Jua Kali’ na kuwalazimisha kwenda katika eneo la Saateni, ambako hata hivyo hakuna na matayarisho ya kuwaweka vijana hao waliojiajiri wenyewe. Kikiwa chama kinachosimamia misingi ya haki za binaadamu na uhuru binafsi wa…

Kuna harufu ya ufisadi mkubwa Zanzibar

Tangu ile Orodha ya Mafisadi (List of Shame) itangazwe hadharani na vyama vya Upinzani nchini, macho na masikio yote yameelekezwa katika taasisi za Serikali ya Muungano tu, huku chochote kikiwa hakisemwi, hakiandikwi wala hakisikiki kuhusu ufisadi ndani ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kimya hiki cha umma na hasa vyombo vya habari kimewahi kumpa juburi…