Haya hapa madudu ya ZEC

Niwakumbushe tu wenzangu kwamba wimbi la mabadiliko linapofikia wakati wake huwa halizuiliki tena. CCM isitarajie kuendelea kubakia madarakani kwa kutumia njia za hadaa, udanganyifu, hujuma, nguvu, ubabe na vitisho. Hii ni nchi yetu sote na kama alivyowahi kusema Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, CCM haina hatimiliki ya nchi hii. Hatuna budi kulitambua hilo na tushirikiane kuivusha salama nchi yetu katika uchaguzi mkuu huu na baada ya uchaguzi mkuu kwa kuheshimu matakwa ya wananchi. – Maalim Seif Sharif Hamad

Advertisements

One thought on “Haya hapa madudu ya ZEC

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s