Katuni 1 ya Kipanya na maneno 1,111

Katuni hii iliyochapishwa leo kwenye gazeti la Mwananchi na mchoraji katuni maarufu hapa nchini, Masoud Kipanya, inaupiku ule usemi kuwa picha moja husema maneno 1,000. Hii inasema maneno 1,111.

kipanyaKatika wakati ambapo thamani ya sarafu yetu ya shilingi inazidi kuporomoka, pamoja na kuwepo kwa msimu wa uchaguzi na kinachotajwa kuwa ni hila za mabenki, bado kuna ukweli mwengine unaoibuliwa hapa na Kipanya. Kama una taifa ambalo linaagizia kila kitu linachotumia kutoka nje, maana yake ni kuwa una utegemezi wa kudumu wa sarafu za mataifa mengine na sio sarafu yako mwenyewe.

Maana yake ni kuwa huna mbinu zinazojitegemea kuuinua thamani ya sarafu yako wala uthubutu wa kiuchumi kusimama kwa miguu yako. Ndiyo CCM ilivyoifanya Tanzania kwa nusu karne ya utawala wake. Wananchi lazima wawe na majibu kwa tatizo hili na majibu hayo hayawezi kutoka ndani ya CCM tena.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s