Ni CUF kote, Bara na Visiwani

Wakati visiwani Zanzibar ikidhihirika wazi kwamba mwaka huu wa 2015 haitawezekana tena kukizuia Chama cha Wananchi (CUF) kuingia madarakani kupitia kura ya Oktoba, hali inaonekana kuwa na sura hiyo hiyo upande wa Tanzania Bara ambako CUF ikiwa sehemu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) inaongoza mapambano ya kuirejesha nchi kwenye mikono salama ya uongozi kutoka mikono michafu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambayo inashindwa kwa kishindo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s