Wazanzibari sasa wameshakataa kugawiwa kwa ujinga wa ukabila

Mkutano wa tarehe 25 Aprili 2015 katika viwanja vya Alabama, jimbo la Kikwajuni, mjini Unguja umedhihirisha kile ambacho CUF imekuwa ikikipigania daima – yaani Zanzibar inayokataa kutumiliwa kwa siasa za ubaguzi na ambayo wananchi wake wanaamini kwenye Uzanzibari wao. Na huo ndio uliokuwa ujumbe wetu mkubwa. Umefahamika. Unaheshimika. Tunashinda kwenye dhamira ya kweli. PICHA ZOTE NA HASSAN KHAMIS/VIDIO ZOTE NA KAMATI YA MARIDHIANO.

This slideshow requires JavaScript.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s