Serikali ya Umoja wa Kitaifa Z’bar haitakufa – Moyo

Katika mahojiano yake kwenye kipindi cha Kinagaubaga cha Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle, Ujerumani, Mzee Hassan Nassor Moyo, mwasisi wa chama cha Afro-Shirazi Zanzibar na baadaye CCM Tanzania, Muungano na mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano anazungumzia kufukuzwa kwake CCM na hatima ya serikali ya umoja wa kitaifa visiwani Zanzibar. Bonyeza hapa kusikiliza na pia ku-download mahojiano hayo.

Mzee Hassan Nassor Moyo

Mzee Hassan Nassor Moyo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s