Lilikuwa tendo la dhamira

Kuna wanauona mkusanyiko wa siku ya Jumamosi ya tarehe 18 Aprili 2015 katika viwanja vya Kilombero, jimbo la Kitope, wilaya ya Kaskazini B Unguja kuwa mkutano wa hadhara wa Chama cha Wananchi (CUF) uliohutubiwa na Katibu Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, lakini kwa wanaofikiri kwa kina wanajuwa kuwa huu haukuwa mkutano tu bali ‘tendo la dhamira’ – dhamira ya kuwa huru na kuutekeleza uhuru huo kivitendo. Angalia vidio za mkutano huo hapo chini kuthibitisha.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s