Wa Kitope ulikuwa zaidi ya mkutano

Hatimaye siku ya Jumamosi ya tarehe 18 Aprili 2015, Chama cha Wananchi (CUF) kilifanya mkutano wake wa kwanza wa hadhara kwenye jimbo la Kitope kuhutubiwa na Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif Hamad tangu kuanza kazi kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ambayo yeye Maalim Seif ni makamu wake wa kwanza wa rais. Huu unatajwa kuwa ulikuwa zaidi ya mkutano, kwani ulikuja baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kumaliza mbinu zao zote kuuzuwia. Dhamira ya umma wa Wazanzibari kuleta mageuzi kwenye nchi yao haizuiliki tena. PICHA ZOTE NA HASSAN KHAMIS/SHARBEYD ALLY.

This slideshow requires JavaScript.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s