Ziwache picha ziseme – ‘Fat’hul-Kitope’

Pamoja na hujuma za viongozi wa CCM na viongozi wa Polisi na mvua kubwa sana, maelfu ya watu wameshiriki mkutano wa hadhara kwenye eneo la Kilombero, jimbo la Kitope. Wanachama wapya 287 wamejiunga na CUF wakiwemo wengi waliorudisha kadi za CCM wakiwemo viongozi wa matawi ya CCM. Katika risala yao, wananchi wa Kitope wamemwambia wazi Balozi Seif Ali Iddi kwamba wamemchoka na wanasubiri Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015 wamn’goe jimboni humo. Baada ya mkutano kumalizika, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad alitangaza kwamba yeye angeliondoka mwisho baada ya kuhakikisha wananchi wote wameondoka na kurudi salama. Tulimwambia Balozi Mkaazi asipambane na bamvua, atachanika kifua. Wimbi hili ni kubwa sana. Wazanzibari washaamua na hawazuiliki tena. Si Unguja si Pemba, si Kaskazini si Kusini, si Mjini si Mashamba Wazanzibari wameamua khasa kuipa talaka tatu CCM kutokana na UDALALI walioufanya Dodoma. – Ismail Jussa king1 king2 king3 kito1 Kito2 kito3 Kito4 kito5 kito6 kito7 kito8 kito9 kito10 kito11 kito12 kito15 kitoa1 kitoa2 kitoa3 kitoe kitope16 kitope17 kitope18 kitope19 maalimkito maalimkitope unstoppable

kitope16 kitope17 kitope18 kitope19 kitope15

K1 k2 k4 k6 kitope1 kitope2 kitope3 kitope4 kitope5 kitope6 kitope7 kitope8 kitope9 kitope10 kitope11 kitope12 kitope13 kitope14

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s