Prof. Lipumba awatembelea viongozi wa dini walioko jela

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Haruna Lipumba, amekuwa kwenye ziara ya kuwatembelea viongozi mbalimbali wa kidini waliokumbwa na mitihani ya kesi na wengine wakiwa wamewekwa ndani kwa zaidi ya mwaka mzima sasa.

Alianza na Kiongozi wa Kanisa la Utukufu wa Kristo, Mchungaji Josephat Gwajima, alipokuwa amelazwa kwenye hospitali ya TMJ akiwa mikononi mwa polisi, na kisha kuwatembelea viongozi wa Jumuiya ya Mihadhara ya Kiislamu na Uamsho walioko kwenye gereza la Segerea kabla ya kuelekea Morogoro kukutana na Sheikh Ponda Issa Ponda. 

Profesa Haruna Lipumba akizungumza na waandishi wa habari nje ya jengo la gereza kuu Morogoro baada ya kumtembelea Sheikh Ponda Issa Ponda.

Profesa Haruna Lipumba akizungumza na waandishi wa habari nje ya jengo la gereza kuu Morogoro baada ya kumtembelea Sheikh Ponda Issa Ponda.

IMG-20150418-WA0016

IMG-20150418-WA0015

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s