Kitope tunakuja tena

Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CUF wakishangiria jambo kwenye mkutano huo.

The Civic United Front (CUF-Chama Cha Wananchi) kinawatangazia Wazanzibari wote kuhudhuria katika mkutano mkubwa wa hadhara wa aina yake na wa kihistoria utakaofanyika siku ya Jumamosi ya tarehe18 Aprili 2015 katika kijiji cha Kilombero, jimbo la Kitope, wilaya ya Kaskazini B Unguja.

Mkutano huo utaanza saa 8:00 mchana hadi saa 12:00 jioni. Mgeni rasmi katika mkutano huo ni Katibu Mkuu wa CUF ambaye pia ni  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad.

Shime Wazanzibari wote tuhudhurie kwa wingi bila ya kukosa. Tuungane kwa pamoja katika siku hii ya aina yake kuudhihirishia ulimwengu kwamba CUF haitokubali kuondolewa katika mstari wa kudai mamlaka kamili ya Zanzibar.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s