Kitope yasema “Hatudanganyiki”

Licha ya jeshi la polisi kujipeleka kwa wingi kwenye jimbo la Kitope siku ya Jumapili kuizuia CUF, haya ndio matokeo yake: mwananchi mmoja ametoa nyumba yake kuwa tawi la CUF baada ya mamlaka za wilaya ya Kaskazini “B” kukataa kuipa CUF kibali cha kujenga tawi; mwananchi mwengine alijitolea uwanja wake kufanyika mikutano ya CUF baada ya polisi kusema walizuwia mkutano wa awali kwa kuwa mwenye kiwanja alighairi kutumika kwa kiwanja chake.

Kadiri CCM inavyoshirkiana na polisi kuizuwia CUF, umma unatoa majibu mazuri zaidi – nayo ni kutuunga mkono. Mwaka 2015 hatuzuiliki, maana umma wa Wazanzibari haudanganyiki tena.

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika barza ya CUF ya WENYE WIVU WAJINYONGE katika eneo la Kitope Mkaratini.

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika barza ya CUF ya WENYE WIVU WAJINYONGE katika eneo la Kitope Mkaratini.

Matokeo ya vitisho cha polisi na CCM kwa watu wa Kitope, ni kwa Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, kuweka mawe ya msingi na kupandisha bendera katika matawi na barza sita za CUF, miongoni mwao ni Kiombamvua, Mkaratini, Mgambo, Kilombero, Kipandoni na Kiwengwa Cairo.

Vijana wa barza ya HATUDANGANYIKI  ya Kiwengwa Cairo wakimsikiliza Maalim Seif wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi katika barza hiyo.

Vijana wa barza ya HATUDANGANYIKI ya Kiwengwa Cairo wakimsikiliza Maalim Seif wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi katika barza hiyo.

Advertisements

One thought on “Kitope yasema “Hatudanganyiki”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s