CUF haizuiliki Ikulu

Katibu Mkuu wa CUF – Chama cha Wananchi, Maalim Seif Sharif Hamad, ameonya kwamba tabia ya jeshi la polisi Zanzibar kutumikia matakwa ya wanasiasa walioshindwa kusimamia maslahi ya nchi kwa kudhani kwamba wataizuwia CUF kuingia madarakani kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015, wasahau jambo hilo. Aliyasema hayo Jumapili (tarehe 12 Aprili) kijijini Upenja, alipokuwa akiwahutubia wananchi wa jimbo la Kitope muda mfupi baada ya kufungua matawi manne, baraza mbilli na kupokea wanachama kadhaa.

Advertisements

One thought on “CUF haizuiliki Ikulu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s