Leo ni ‘Karume Day’

CUF yaungana na Wazanzibari wote kumkumbuka Mzee Karume. Njia bora zaidi ya kumkumbuka mkombozi huyu wa Zanzibar ni kuyatekeleza aliyoyasimamia, ambayo ni uhuru, umoja na mamlaka ya Zanzibar.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amejumuika na viongozi wengine wa kitaifa pamoja na wananchi katika khitma ya kumuombea muasisi wa Mapinduzi ya 1964, Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliyofanyika Ofisi Kuu za CCM, Kisiwandui Zanzibar, leo tarehe 7 Aprili 2015. Mzee Karume aliuawa siku kama ya leo miaka 43 iliyopita.

ka1

ka6

ka5

ka4ka3

View original post

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s