TANGAZO

CHAMA CHA WANANCHI CUF KINAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHAMA WAKE WOTE MJINI NA VIJIJINI PAMOJA NA WAZANZIBAR WAPENDA MAMLAKA KAMILI YA NCHI YAO KUWA KITAFANYA MKUTANO MKUBWA WA AINA YAKE SIKU YA JUMAPILI YA TAREHE 25/8/2013 HUKO KATIKA VIWANJA VYA KOMBA WAPYA. JIMBO LA RAHA LEO.

 

MGENI RASMI KATIKA MKUTANO HUO ATAKUWA NI MJUMBE WA BARAZA KUU TAIFA CUF NA MWAKILISHI WA JIMBO LA MJI MKONGWE MH,ISMAIL JUSSA LADHU,SHIME WAZANZIBAR NYOTE KUHUDHURIA KWA WINGI MNO KUNA MAMABO MUHIMU YANATAKA KUELEKEZWA KATIKA HARAKATI ZA KUYAPATA MAMLAKA KAMILI YA NCHI YETU.

IMETOLEWA NA MKURUGENZI WA HAKI ZA BINADAMU,HABARI,UENEZI NA MAWASILIANO YA UMMA MH,SALIM BIMANI.

 

AHSANTENI.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s