Kujiuzulu Jussa si mgogoro

Kujiuzulu ni jambo la kawaida lakini tu katika taasisi iliyopevuka kidemokrasia na kiuwajibikaji. Hii ndio maana si jambo la kawaida katika vyama vyote vya siasa hapa nchini ukiwachia CUF. Mheshimiwa Jussa amejitathmini na kujiona kuwa chama kimemkabidhi majukumu mawili makubwa, Mtendaji Mkuu wa chama kwa upande wa Zanzibar na Mpambanaji katika baraza la wawakilishi. Majukumu haya mawili na ukubwa wake kwake ni sawa na aliyepanda farasi wawili, atachanika msamba au farasi mmoja atashindwa kumdhibiti na bila shaka atakimbia.

Ili kukinusuru chama na kuzorota kiutendaji katika nafasi muhimu na kubwa kiutendaji kwa Zanzibar ya Naibu katibu Mkuu, Mhe Jussa ameonelea ni vyema akamwachia mwenzake nafasi hiyo ili yeye apate muda wa kutosha kukiwakilisha chama katika Baraza la wawakilishi akiwa GREAT CHAMPION katika kuibana serikali na kuyawakilisha matashi ya wazanzibari vile ambavyo wanatarajia. Yaani kuidai na kuileta Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Kujiuzulu kwa Mhe Jussa ni kuona na sio kuyumba

Mhe Jussa akiwa katika ukumbi wa ngome ya wa wazanzibari, Baraza la wawakilishi

Advertisements

2 thoughts on “Kujiuzulu Jussa si mgogoro

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s