Operesheni Mchakamchaka sasa yaingia Kagera

Na Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Julius Mtatiro

Kuanzia leo tarehe 03 oktoba hadi tarehe 16 oktoba, ujumbe wa “VISION FOR CHANGE” – DIRA YA MABADILIKO uko mkoani Kagera. Wakurugenzi wa chama na wajumbe wa Baraza kuu wanaianza kazi hii muhimu. Pamoja na ratiba nzima, kilele cha awali cha mkoa wa Kagera kitakuwa tarehe 11. Mbunge wa BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI anayetokana na CHAMA CHA WANANCHI CUF – Mhe. Twaha Taslima atakuwepo Katika ziara husika ikizangatiwa kuwa yeye ni mwenyeji wa KAGERA. Wananchi wa Kagera tunawaomba mjitokeze kwa wingi kuunga mkono DIRA YA UKOMBOZI WA TANZANIA.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s