“Katiba ya Zanzibar yatosha kufanya maamuzi tunayotaka” Mwakilishi Shehe

Mwakilishi wa jimbo la Chake-Chake (CUF), Mhe. Omar Ali Shehe, anasema kwamba Wazanzibari wanayo silaha madhubuti wakitaka kuitumia kulitatua tatizo la Muungano, ambayo ni Katiba ya Zanzibar. Na yuko tayari kupeleka hoja kwenye Baraza la Wawakilishi ili Zanzibar ipige kura ya maoni juu ya mfumo wa Muungano wanaoutaka. Angalia vidio hii:

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s