CUF kuongelea Daftari Jumapili

Taarifa ya Mkutano na Vyombo vya Habari

Wapendwa Wanahabari,

The Civic United Front (CUF ā€“ Chama cha Wananchi) kinawaalika katika mkutano wake na waandishi wa habari utakaofanyika katika ofisi za Chama zilizoko Vuja, mjini Zanzibar, siku ya Jumapili ya tarehe 31 Agosti, 2009, saa 4.00 asubuhi. Mkurugenzi wa Uenezi na Mahusiano na Umma, Mhe. Salim Bimani atatoa taarifa maalum ya Chama kuhusu Uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura pamoja na hali ya jumla ya kisiasa nchini.

Kwa mwaliko, munaombwa nyinyi wenyewe ama wawakilishi wenu kuhudhuria katika mkutano huu ili kujua mtazamo na msimamo wa CUF katika masuala haya.

Pamoja na salaam za Chama

Umetolewa na kusambazwa na:

Dawati la Uchambuzi na Mahusiano na Vyombo vya Habari
Kurugenzi ya Uenezi na Mahusiano na Umma, CUF

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s