Ingelikuwaje Nyerere angelikuwa Mzanzibar?

TANZANIA tuliyonayo sasa ni kati ya ishara ioneshayo kuwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliishi juu ya ardhi hii ya Mungu Muumba. Hatuwezi kuizungumzia Tanzania – chimbuko, asili, mafanikio na matatizo yake – bila ya kumtaja na kumuhusisha yeye. Hatuna haja ya kujenga sanamu lake kumkumbuka na kumuenzi, madhali tu Tanzania ingalipo na inaendelea kubakia hai.…

Maalim Seif: Wananchi tuungane kutetea Maslahi ya Zanzibar

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewashauri wananchi kuweka mbele maslahi ya Zanzibar na kuacha kushabikia utashi wa kisiasa katika kutetea maslahi ya nchi na wananchi wake. Akihutubia mkutano wa kampeni za Chama hicho katika viwanja vya Mkokotoni jimbo la Tumbatu, Maalim Seif amesema suala…

Maalim Seif kuifugua Zanzibar Kiuchumi

Na: Hassan Hamad, OMKR Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar ataifungua Zanzibar katika Nyanja zote za maendeleo. Amesema inawezekana kuibadilisha Zanzibar kimaendeleo kutokana na fursa nyingi zilizopo ikiwemo sehemu ilipo Zanzibar kijiografia, hali inayoifanya kuwepo katika eneo la kimkakati kimaendeleo. Maalim…