INDHARI: HAYA NI MAONI YA WASOMAJI AMBAYO SI LAZIMA YAAKISI MTAZAMO WA KURUGENZI YA HAKI ZA BINAADAMU NA MAHUSIANO YA UMMA, CUF
Msaada wa India Utumike ipasavyo kuimarisha maendeleo ya teknohama, katika viwanda vyetu.
Zanzibar imepata faraja nyengine baada ya India kusema iko tayari kusaidia maeneo ya elimu, viwanda na Teknohama.
Faraja hii inatokana na ushawishi Edelea hapa
atoya
web njema ela jambo moja au mawili; inkosa bendera ya chama ambayo yatakiwa ikae juu kama ilvyokaa picha ya Mh lipumba. pili kama waweza fanya shedow nyuma ya kila page zipattikane rangi za chama. maana kwa sasa ukifugua ata hujui kama ncuf. naminjuavyo kafu yataka ntu akifungua ashtuke kwanza. ila haya yoote nmaoni yangu tu!!
asante
Atoya.
3 09 2008
Ussi Machano (08:56:15)
Sijafahamu kidogo kuhusu tafauti ya itikadi na falsafa. CUF inaposema itikadi yake ni UTAJIRISHO na falsafa yake ni HAKI SAWA KWA WOTE inakusudia kutafautisha dhana hizi mbili. Zinatafautianaje?
4 09 2008
Marry (09:21:55)
Je, haya yote mliyoandika kamadira mmeyafanyia tafiti shirikishi au mnakaa ofisini na kuandika? Nchi hii ni kubwa na ina mambo mengi na watu wengi.
Bila tafiti shirikishi ili utoe sera itakayoweza kutekelezeka ni kama mnacheza na mnawahadaa watanzania. Jaribuni kuwa realistic, especially kwenye kilimo, viwanda na madini.
4 09 2008
Salim Amar Kuku (10:30:49)
Mimi naamini kuwa itikadi ya utajirisho inawezekana sana kwa Tanzania ikiwa rasilimali ziliopo nchini zitasimamiwa ipaswavyo bila kuwaachia MAFISADI akina vijisenti millionea kupora utajiri wa nchi na kuwaacha Wananchi kweupe.
4 09 2008
v99!! (19:52:24)
Tunaupongeza msimamo wenu huu!! Tunakuungeni mkono kwa hali na mali!!
Tunataka kuiona Zanzibar inastawi kimaisha na kuondokana na hali mbaya ya ombaomba iliojitokeza kwa kushirikiana na uchangiaji wa siasa mbovu sisizokuwa na dira, ila kuvimbisha matumbo ya viongozi wake!!
Tunatamani kuiona Zanzibar ilio hai na iliojiweza kujitekemea badala ya kuwa ombaomba!! Mola ibariki CUF iwe ndio dira ya ukumbozi wa ZANZIBAR HURU!!
6 09 2008
Mohammed Abdallah (09:16:12)
Mimi ninamashaka na Sera za C.U.F kwani tangia mwaka 1995 chama hiki kina Wawakilishi na Wabunge waliochaguliwa na Wananchi, lakini ni kwa nini wananchi hawafikiwi na maendeleo hata yale madogo ambaye yanahitaji utendaji mdogo tu wa Mbunge husika.
Kwa mfano hivi sasa njia inayokwenda Mtambile _ Kengeja ina karibu miaka 18 bila ya kufanyiwa ukarabati, wakati Kokoto, mawe na vijana waliotayari kujitolea kuchimba na kufukia pale watakapohitajika na Nyenzo zote muhimu zinapatikana huko huko Kengeja na mara nyingi tumeshuhudia misaada ya Lami ikishushwa, ikiwa ni moja ya nyenzo muhimu za barabara.
Je, maendeleo yatakuja vipi kama Wabunge na Wawakilishi hawana ubunifu wa kupanga hata mipango midogo midogo ya utendaji??
6 09 2008
Asha Mohammed Ali (09:29:12)
Chama cha Wananchi (C.U.F) kina jukumu kubwa sana na wasipoliangalia hili basi chama hiki hakitofikia IKULU mpaka pale jua litakapobadilisha mwelekeo.
Ninakusudia kusema ya kuwa watu wengi hasa Wazanzibar wamepoteza kazi zao, biashara zao, utu wao, mali zao, familia zao kwa matumaini ya kwamba utafika muda wa mavuno kwa chama hiki. Lakini kila siku viongozi walioshikilia nafasi za juu ya chama hiki wanawasaliti wafuasi wao. Utaona badhi yao wanahama C.U.F na kurejea C.C.M au chama chengine. Au kinyume chake chama cha Wananchi (C.U.F) kinawapokea kwa changwe na vigelegele na kuwapa nafasi za juu viongozi waliofilisika kisiasa walioacha vyama vyao, bila ya kujua kuwa hawa ni VIRUS hatari kwa chama. Na hakuna muathirika zaidi wa haya kama si mwananchi.
6 09 2008
Mohammed Abdallah (09:47:05)
Mimi kidogo sijafahamu kwa kina Sera za chama changu cha C.U.F kwa sababu maendeleo si lazima kufika ikulu. Wabunge na Wawakilishi tulionao wanatosha kuwa ni chachu ya kufikia maendeleo. Lakini angalia leo hii ni vitongoji vingapi vya Unguja na Pemba vimeshindwa kuwa na huduma ya Umeme kwa kukosa Transformer, ni vitongoji vingapi havina visima vya maji wa kunywa yaliyo salama. Ni kwanini vishirika vidogo vidogo vya kidini (Waislamu au Wakiristo) wanaweza kutoa misaada ya Transformer na Kuchimba mamia ya Visima vya Kisasa kwa ajili ya wananchi. Je, Sera za C.U.F ndio zinashindwa na mashirika haya kiutendaji?
8 09 2008
Mcha Hassan (20:54:13)
Maalim Seif ametuwakilisha Wazanzibari sote, walio ndani ya nchi na sisi tulio nje huku. Sote tunaamini kwamba Zanzibar yetu kweli ni nchi, ni taifa na ni dola. Hata hivyo, msimamo alioutoa kuwa ni msimamo wa chama chake kuhusiana na kauli ya Mizengo Pinda hautoshi. Lazima sasa CUF iwaongoze Wazanzibari kudai kwa sauti ya juu na kali zaidi haya aliyoyapendekeza Maalim Seif.
Tunafahamu kwamba si Amani Karume wala Shamsi Vuai anayeweza kuitetea Zanzibar kama hivi Maalim Seif anavyowataka waitetee. Kwa hivyo, sasa ni jukumu la CUF kuongoza njia na sio kuionesha tu. Kwa kuanzia, nashauri CUF ikusanye sahihi za Wazanzibari laki moja au zaidi kisha ifunguwe kesi katika Mahakama ya Kimataifa kuhusiana na migogoro ya kikatiba kudai haki ya rais wa Zanzibar kuwa makamo wa rais wa Muungano. Halafu ifunguwe kesi ya kutaka mkataba wa Muungano uwekwe wazi na ujadiliwe kwa mapana na marefu.
CUF isijidogoshe. Ni chama kikubwa, chenye watu na chenye vision na kikiamua kweli, kinaweza kufanya hayo. Na sisi Wazanzibari tutakiunga mkono kwa sababu kinawakilisha matakwa yetu.




Ombi- Nawaomba mututilia “clips” za mihadhara katika internet. Japo kwenye “youtube”. Wenzetu wa Kenya wamefanya hivi na imesaidia sana kuelimisha watu.
Asante
HAKI SAWA KWA WOTE. MAONI YANGU NI NAOMBA HAKIKISHENI RADIO IMEFUNGULIWA KABLA YA UCHAGUZI MDOGO. NA GAAZETI LA FAHAMU LIBORESHWE BADO HALINA MVUTO. AHMADI MACHAKU MOROGORO.
haki sawa kwa wote maoni yangu mimi jee tunasi sikia uchaguzi wa 2010 kupira kwakmputa jamani ninarudiatena hii sikuwibiyana kwasababu ccm wakiyona muwelekeo wa kusnda hawana basi wawo hutafuta kilanjia ya ufisadi kwahiyo hili litizameni kwamakin
Inna lillahi Wainna Illaihi Raajiuun:
Assalaamu Aleikum: Tumezipokea habari za kifo cha Mzee wetu Mzee Shabaani Mloo kwa masikitiko makubwa. Tunamuombea kwake Mwenyezi Mungu amlaze malazi mema. Mwenyezi Mungu ampe kauli thabit, Amghufirie madhambi yake na amueke pamoja na waja wema – Amin. Na wafiwa woote, Mwenyezi Mungu awazidishie subra. Huu ni mtihani wake kwetu sote.
wassalaamu aleiku
Poleni Wazanzibari Kwa kuodokewa na Mzee Mloo
Saturday, 14 March, 2009 1:19 PM
From: “Yussuf Salim”
Asalaama aleykum Wazanzibari
Kwa niaba ya MUWAZA, kwa niaba ya familia yangu na kwa niaba yangu binafsi tunamuombea marehemu Mzee Mloo kauli thabit, aepushwe na adhabu za kaburi, asamehewe makosa yake na alazwe pahala peponi. Amiin !!!
Marehemu Mzee Shaaban Mloo ni katika ya Wazanzibari wa mwanzo walioweza kumkabili Mwalimu Nyerere ana kwa ana na kudai uhuru na mustakbal wa Zanzibar. Bila ya kujali usalama wake, ulwa wake, maslahi yake binafsi hakusita wala kutetereka kwenye msimamo wake wa kutetea haki za Zanzibar ndani na nje ya Muungano.
Marehemu Mzee Mloo leo katutoka lakini katuwachia mifano yake ya ushujaa ya kuikomboa nchi yetu. Katuwachia wajib wa kutekeleza. Katuwachia Wazanzibari wote, bila ya kujali mirengo tofauti, wajib wa kupigania maslahi ya Zanzibar.
Tufuate mifano yake ya kuendelea kupigania Mustakbal wa Zanzibar kwa pamoja.
Inna Lillahi wa Inna Illaihi Rajiuun.
Wasalaalm
Dr. Yussuf S. Salim
A/alaykum,
Itakumbukwa kuwa kuna viongozi wawili hivi sasa ndani ya chama wana conflict wenyewe kwa wenyewe, hayo ni yao lkn kwa upande mwengine wanaharibu taswira ya Chama, nadhani hatua za haraka zinahitajika kudhibiti malumbano haya ili wasikipotezee Chama hadhi na dhamira yake. Hilo lifanyike mapema kama kuna adhabu yoyote inastahili kutolewa kichama basi wawajibishwe haraka. Uamuzi kamili tutauotoa ifikapo uchaguzi unaokuja 2010 tukijaaliwa, maana sisi hatuchagui watu ktk mtazamo wa kimali au madaraka, ikiwa wao hicho ndio chanzo cha ugomvi wao, sisi sera yetu ni ile ile ya Utajirisho lkn si wanamna hii, ni utajirisho katika misingi ya haki na Usawa, ni ajabu kuona watu hawa wanaambiwa wamesoma lkn wanashindwa kutafuta suluhu mpaka wakihusishe chama na masakata yao binafsi. Inakuwaje vikao vyote wanavyofanya wasipate suluhu, mpaka wakimbilie kwenye vyombo vya habari na kuandikiana barua ambazo mimi naziona ni za grade ya kidato cha nne.
Ninakitakia chama mafanikio mema ktk kulishughulikia hili.
a/alaikum
Ninawazo dogo tu, nalo ni kuiomba CUF kufikiria kuanzisha department ya “CUF abroad” nadhani italeta mchango mkubwa kwa kukiendeleza na kukisambaza chama pembe zote za dunia.
(IS SHAME & SAD) TUNAOBA MEDIA ZOTE TANGANYIKA ZIASHANE NA UPOTOFU WA KUIZALILISHA NCHI YETU. ZNZ NI NCHI NA SIO MKOA WALA VISIWA VIDOGO VYA TZ (ISLES)Imetumwa na NGWADU tarehe June 9, 2009 saa 12:16pm katika Siasa
Angalia Mijadala
A/w Takribani wazanzibar wengi tuna sononeka na kuona kishefu x2 tunapo ona wenzetu wa Tanganyika wakitufanyia zarau na kuizalilisha kwa maksudi nchi yetu zanzibar katika media. sisi wazanzibar tunasema upotofu huu wakupotowa watu kwa lengo la makusudi ufe mara moja. katika magazeti mingi ya Tanganyika utaona habari za zanzibar zinawekwa katika mkoa na ukiona nakala nyengine kuhusu zanzibar kama hii hapa shini ya gazeti la mwananchi utaona wanaita ( ISLES) YANI visiwa vidogo. huu wazanzibar tunasema ni upotofu wa maksui na kuizalilisha nchi yetu. iki wa viswa Tanganyika inavyo visiwa vingi lakini sio kama zanzibar zanzbar ni nchi na sio mkoa. na jambo jengine ukiangalia katika utabiri wa hal ya hewa utaskia mkoa wa bwani Tanga,mafya,bwagamoyo na zanzibar kutanyesha mvua za hapa na pale. hii nikuonyesha zahiri kuwa zanzibar sio nchi i mkoa wa bwani wenzetu akili zao zinavyo wapa. kwa hio kama wanashindwa kutamka SEREKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR(SMZ) basi muungano ufe kama walivyo kufa hao mwalounanyisha bila rizadhaa zetu. mana hii ni jeuri na wazanzibar hatuko tayari kuitoa muhanga nshi yetu kua mkoa wa Tanganika. Ikiwa tanganyik kama mujidanganyavyo imekufa basi na muungano ufe kwa vile nyerere na karume waliunanyisha Tanganyika na zanzibar ikawa(Republic of Tanganyika na Zanzibar) sio hishi kilimacho na mazingaombwe ya watanganyika uimeza zanzibar kwa kisingizio cha Muungano fake wa serekali moja yani REPUBLIC OF TANZANIA serekali ya watu wa Tanzania noooooooooo hii ni mfumo wa serekai moja na wazanzibar tusiwe tayari kupigwa shenga na kuisaliti nchi yetu ardhi yetu huu ni ujanja wakitapeli. kwa hio tunaomba baraza la wawakilishi na tasisi zote za zanzibar kuandikia barua vyombo vyote vya media kuwa wasitumie kuondika habari za zanzibar kuweka katika mkoa pamoja na kuishanyanya zanzibar kuwa mkoa wa bwani katika utabiri wa hali ya hewa au kutumia kuwa visiwani (isles) kama watashindwa kuita serekali ya mapinduzi y zanzibar (smz) basi sisi hatuko tayari wazanzibar kutapeliwa nchi yetu.
Don’t be used by politicians, Isles teachers warned
By Mwinyi sadallah
9th June 2009EmailPrintComments
ZanzibarIt has been said that teachers in the Isles lose their jobs after general elections because of their willingness to be used by politicians.
Zanzibar Trade Union Congress (ZATUC) General Secretary Khamis Mwinyi Mohammed gave the remarks at the opening of a one-week course on Labour Laws and Zanzibar Teachers Union Policy.
“The majority of teachers are willing to be used by politicians, ending up being divided due to ideological differences, which often results in their losing their jobs,” he said.
He said the move was against fundamental human rights and good governance, adding that there was no way to deal with the situation.
“If we are to bring this practice to an end, we, as teachers, should refuse to be used by politicians, especially during general elections,” said Mohammed
The SG said many teachers end up in problems due to their involvement in political affairs.
He said this situation faced all teachers who were aligned to political parties.
“We now call on our trade unions to deal with this problem.
We need to have a kind of unity that will work to remove the notion that trade unions are part of the opposition political parties because they differ with the government on many issues,” said Mohammed.
He said ZATUC, in collaboration with ZATU, had already planned to establish an instrument to monitor teachers’ employment.
According to a President’s Committee Report on Workers Claims, a total of 1507 workers were dismissed from government employment including 278 teachers.
The committee was established after the ruling Chama Cha Mapinduzi and the opposition Civic Unitted Front reached a reconciliation pact, during which it was established that many government employees had lost their jobs after the 1995 general election for political reasons.
SOURCE: THE GUARDIAN
Peleka kwa Marafiki
Attachments:
waziri wa nchi ofis ya makamo wa rais mohammed seif hatibu..jpg, 15 KB
mk.bmp, 1008 KB
PALESTINIAN LOSS OF LAND 1946 TO 2005.bmp, 850 KB
ASARI ZA MUUNGANO WAZANZIBAR WANASEMA NIKUBWA KIDINI KULIKO KISIASA.Imetumwa na NGWADU tarehe June 7, 2009 saa 1:53pm katika Siasa
Angalia Mijadala
A/a Wzanzibar katika ufuatiliaji wa faida na hasara za Muungano. wazanzibar walio wengi wamegundua Muungano huu umeasiri sana kizazi cha kizanzibar katika dini na utamaduni wetu asilia wenye ni zamu za kislamu kuliko faida. wengi wanasema sio siasa tu. Zaidi wazanzibar wameasirik katika mfumo mzima wa dini ya kislamu na mila za kislamu katika visiwa vyetu hususani katika kisiwa chetu kikubwa cha unguja. A) zanzibar ninayo ijua mimi ilikuwa ni marufuku kuuza au kununua au kunywa hazarani ulevi waaina yoyote ile. b) zanzibar kulikuwa hakuna nyumba za ukahaba wanawake kuza mili yao C) dini ya kikristian ilikuwa haina nguvu zanzibar na waumini wao zanzibar nzima ilikuwa hawajai hata kanisa moja la kwahani. leo utaona makanisa yamejaa kila kona na hii yote ni mpango malumu na ajenda za siri kuimaliza zanzibar kidini na kiutaa tuni wa mzanzibar. kwa hio mimi nasema wazanzibar tumeasirika sana kidini kuliko kisiasa na kama hatukulivua hili koti la Muungano basi litamaliza kizazi chote cha kizanzibar bila kujua asari zinatokea wapi na zinapenyezwa vipi.
kwa hio tuna aomba nduguzetu wote wa kislamu watusaidie kwa hili ili turudishe zanzibar yetu asilia na hili nijukumu lakila muislamu popte pale alipo.
test access
More watch videos now
You don’t have to sign up, sign in, or sign anything to watch the video. Just click and play! If the link above doesn’t work, copy and paste this url into your browser: http://www.motionbox.com/folders/61390577?affiliate_name=motionbox&;…;…
Motionbox is the easiest way to view, share, and make the most of your personal videos.
Want to use Motionbox to share your own videos securely with friends and family? Learn how it works Peleka kwa Marafiki
Peleka kwa Marafiki
hongereni sana
MAONI YANGU NI KWAMBA IVI RUZUKU ZITOKAZO SERILKALINI ZINAFANYA KAZI GANI KAMA INAFIKIA HATUA MPAKA OFISI YA CHAMA MOROGORO INAFUNGWA KWA KUTOLIPA KODI. KWA CHAMA KAMA CUF NI HAIBNU WAHESHIMIWA.
Nanapenda jambo moja liingizwe katika sera ya Chama kuelekea kipindi cha Uchaguzi mkuu ,jambo lenyewe ni kuzidisha vivutio kwa wananchi katika kuwashawishi kuwepo kwa maendeleo ua kumkomboa mwananchi.
Jambo lenyewe ni kuondosha kodi za viwanja kwa wazalendo ,kuondosha kodi za mashamba kwa wazalendo ,hivi sasa mwananchi mzalendo huwa analipia nyumba yake ya kukaa ,analipia shamba lake analolima ,hizi kodi zipo na kusema kweli inakuwa kama kero,wakati mtu mlo wake wa siku haujui ataupata wapi ,halafu anaongezewa mzigo wa kodi wa pale alipojijengea na pale anapolima,kuna nchi zinawajengea wananchi nyumba na kuwapa bure kuna nchi zinawapa wananchi wake maeneo na kulima bure ,hivyo sioni sababu ya hapa Tanzania kwa mwananchi mzalendo kwa kujenga nyumba na halafu arudi nyumba hiyo akailipie kwa kuwa tu analimiliki nyumba na shamba ,ningewaomba CUF walivalie njuga suala hili liwe moja katika agenda zake za mikutano na wananchi kuwa itawaondolea kodi za viwanja au sijui nyumba ambazo mtu binafsi anamiliki au shamba.Natumai nimeeleweka.Kama mlivyofanikiwa kuipigia makelele kodi ya kichwa basi na sasa muhamishe na kuziandama kodi hizi ambazo ni mzigo mkubwa kwa mwananchi natumai wengi watashawishika na kuikabidhi kura CUF. Mapambano yaendelee kuliko mwanzo CCM hayupo mbali kuanguka.
Assalam alaykum, Mimi kitu cha kwanza naomba haya maoni muyasome na ambayo yana maslahi naomba muyafanyie kazi, nilikuwa nawaulizia wana zanzinei wenzangu jinsi gani tutapata kutoa maoni yetu CUF, ila leo nimepata, zanzinet ni kikundi cha watu wakiwemo watu wanaoishi nje, ambao wanajihusiha na kutaka kuisaidia znz ila tunahitaji serikali imara. Wazanzibari tuko tayari kuwaunga mkono CUF ktk kuleta maslahi ya znz na tanzania kwa ujumla.
Assalam alaykum,
Baada ya utangulizi hapo juu, sasa naomba nichangie, waheshimiwa najua mwajua mengi sisi hatuyajui, na mwajitahid kuona chama kinashika hatamu, lakini mimi napata mashaka na hatua zinazochukuliwa na chama kudhiti njama za ccm, hivi sasa kuna zaid ya watu 3000 hawajaandikishwa ktk majimbo mawili kwa hiyo hadi majimbo yote yaishe takriban watu wapatao 100,000 watakosa haki ya kupiga kura, je sasa waheshimiwa jambo hili munaliachia hivi hivi tu au mushachukua hatua? kumbuka ccm ukiwapa mwanya kidogo tu wanatumianafasi hiyo hiyo, sasa mimi nilikuwa nashauri kila jambo lifanyike kwa wakati, waliokoseshwa haki zao wafuatiliwe hivi sasa tusisubiri hadi wamalize, wakishamaliza kuandikisha watatoa sababu nyengine, na hawa masheha ktk sheria za uchaguzi wametajwa? kama hawajatajwa kwanini munawaachia wanatumika na kuzuia watu haki zao? na pia katika tume ya uchaguzi kuna wajumbe wa cuf mbona sisikii juhudi zao juu ya haya yanayotokea? uchaguzi wa magogoni tunaona jisni ccm ilichukua ushindi? je mikkakati gani tunaichukua?
Mungu ibariki znz, Mungu ibariki tz.
kila la kheri
Mimi nafikiri kabla ya uchaguzi wa 2010 lazima CUF waanzishe kesi za mauaji ya chaguzi zilizopita ili kwafikra zangu, ikiwa akina mkapa na kigengi chake kitaanzwa kuandamwa sasa basi hao akina kikwete wanawezake huenda wa katahadhari kidogo,kwa hivyo nafikiria sana kua CUF wapige moyo konde wasimamie kesi za watu waliodhulumiwa katika chaguzi zilizopita au kama halikufanyika jambo hilo itaonekana kanakwamba munawapuuza wanaopatikana na kadhia hizo.Mimi nafikiri kuupuza mambo kama haya yanaweza kuwavunja moyo wengi wetu katika kusimamia kupigania uhuru wetu na demokrasia ya kweli.
Naungana na wewe bwana hajibwana kwa hili la kuwafungulia kesi hawa madhalim.
hao majambazi kimtindo huo wa vitambulisho naona hatutowaweza maana hiyo ni njama yao ya kijambazi na kudhulumu wazanzibari haki zao hao wenyewe wanalijua kwamba cuf zanzibar ina ushindi mkubwa na hakuna asiyelijua hilo sasa kazi yao nikutumia dola nakutbandikia matatizo lkn yote twamuaachia allah iko siku yao. lkn tujitahidi wazanzibar na wanachama wote tuikomboe zaanzibar maana washaimaliza
KUMTAMBUA KARUME NI KUWASALITI WAANGA WALIOUAWA KWA KUHIAMI CUF:
HAKI SAWA KWA WOTE. KI UKWELI SIWAUNGI MKONO VIONGOZI WOTE WA KITAIFA WALIOSHIRIKI NA KUMTAMBUA KARUME KAMA RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR. WAH:LABDA KAMA KUNA UCHAGUZI WA RAIS ULIFANYIKA KARIBUNI NITAUNGANA NANYI LAKINI SIYO ULE WA 2005 AMBAO MATOKEO YAKE YALISABABISHA MAAFA YA WATANZANIA KWA KUIDAI HAKI YAO. WAH: KAMA UONGOZI UMEWASHINDA ACHIENI NGAZI. NI MIMI AHMADI RAMADHANI MACHAKU WA MOROGORO.
Zanzibar na uanachama wake bado na UNVIPI ZANZIBAR ITAPATA TENA NAFASI YAKE KWENYE JUMUIA ZA KIMATAIFA?
Mada hii nnaweza kurejesha mara nyingi ukumbini hapa kwani moja ya sababu ni kutafuta michango na mawazo toka kwenu nyote pili mada nimejaribu kuigawa katika sehemu mbili ambapo sehemu ya pili na mwisho itafuatia na dondoo “ “index references” vile vile katika document hii mmetumica lugha mbili kiswahili na kiengereza kwani lengo nililo likusudia sikutaka kuposha maana ilio kusudiwa.
This document has compling with
Cell phone +255 777 479727
Mzaliwa wa miwani Centre district Unguja,
Naomba niwasilishe mawazo yangu na mitazo yangu ambayo pengine iwe chachu ya kuwapa nafasi wasomi na wanasheria kuebua mada itakayo weza kuleta njia ambayo hatimae Zanzibar iweze kuonekana upya katika nyanja ya kitaifa na kimataifa.ambayo ndio msingi mkuu katika nyanja ya uchumi na ustawi kwa ujumla wake. Nimeonelea kwa leo nigeukie upande mwingine wa sheria za kimataifa kwani kama mnavyo elewa kila uchao tunadosa makubaliano ya muungano Articles of Union Tanganyika na Zanzibar na kasoro zake hali yakua utawala wa Nyerere. Tanganyika na hatimae Tanzania umesha andaa articles nyingi tuu sasa sijui ipi hasa tuizungumzie au iwe ndio dira yetu ya kuirejesha tena Zanzibar uanachama wake ulio sitishwa.
Mwanzo wa haya yote ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni nchi mbili huru kabisa ambazo kwa ridhaa ya viongozi wa mataifa hayo kulipelekea kuundwa kwa jamuhuri ya Tanganyika na Zanzibar,muungano huo ulianzishwa kwa malengo tofauti miongoni mwa wanzilishi wa muungano husika, kwani inaonekana wazi kabisa kila upande ulikuwa na malengo na dhamira zake kinyume na mwenzake , pingine kutokana na dhana na utashi ulio kuwepo ulisukuma mbali kabisa madhumuni hasa yalio kusudiwa hivyo ukajengeka msingi wa hilba kudhulumiana na kutokuaminiana “treacheries”
Naeleza hivi kutokana na namna ya uasilia wake na utekelezaji wake na jinsi tokea siku ya mwanzo tuu ya hatua ya utekelezaji wake, utakubaliana nami yakwamba upande mmoja ulijipa dhamana na kujiona ndio mwenye haki zaidi katika muungano huo “disreputisms” ambayo hayo ni makosa kisheria.lakini siyo hayo tuu ila mshiriki mmoja wapo alikuwa bado hana uwezo wa kuingia mikataba mikubwa tena yenye kuhusisha zana nzima ya sheria ya kimaeneo na kimataaifa. Naweza kusema Tanganyika ya wakati huo ilikua bado ni koloni la kiingereza kwani ilikuwa bado imo katika kipindi cha Pre- independence , haifahamiki kama rais wa hio jamuhuri ilikua ni transference toka katika kipindi cha miaka miwil ya mpito cha uhuru , hakuna taarifa yakwamba “Tanganyika prime minister has made any devolution or declaration with the united Kingdom alicho kifanya NYERERE kwa kujiona anajua na kiburi alifanya kitu kipya kabisa kinacho julikana Nyerere declaration ambacho mpaka hii leo waingereza wanaweza wakadai Tanganyika “Tanzania” ni koloni lao wala hakuna ubishi bado ni koloni tuu,na kuthibitisha hayo angalia machafuko yaliopelekea jeshi la Tanganyika kughasi nini kilitokea askari wa kiingereza walituliza ghasia ile na Nyerere akabakia kuwa kongozi wa Tanganyika .
Wacha nigeukie mada nilio ikusudia hii ya Tanganyika iko siku yake pale ALLAH ATAKAPONIWEZESHA
Ninasema hayo kutokana na mambo kadha wa kadhaa ambayo tayari yamefanyika bila ya kuzishirikisha pande hasa za muungano na kupatikana ridhaa na kuridhia jambo husika.
Labda kwanza tuainishe baadhi tuu ya mambo yalio amuliwa bila ya upande wa pili kuridhia na hapo ndio msingi mkuu wa kiini cha mgogoro wa muungano huu umbapo unapelekea miongoni mwetu kuhoji uhalali wake?
*Mwanzoni tuu upande mmoja ulikiuka muhimili wa sheria husika ambapo ilijiamulia na kuwapandisha vyeo wafanyakazi wote wa Tanganyika na kuwafanya ni wa Muungano huku nikukiuka makubaliano, kwani hata bunge la Tanganyika halikuwa na mamlaka na uwezo wa kuamua chotete kile bila ya jambo hilo kuridhiwa pia na upande wa pili wa Jamuhuri ya watu Zanzibar ambao chombo chao cha kutunga sheria ilikuwa ni Baraza la mapinduzi, “legislators” suali kuna taarifa yoyote ya baraza hilo kuridhia? Jawabu hakuna kitu hicho, na hata kama wameridhia bado ni batili kutokana na kukiuka kanuni na msingi wa sheria zakimataifa hivyo kama nita kuwa niko sahihi huu Muungano ni batili na una kiuka misingi ya sheria ya uundwaji wa Muungano huu kitaifa na hata kimataifa “International laws” zinavyo elekeza pamoja na dhamira ya Umoja wa mataifa angalia Charters of United Nations.
*Kuipoka nakujifanya waakilishi halali wa Masuali yote ya Zanzibar hata katika mambo ambayo hayomo katika makubaliano ya muungano huo.
*Kuinyang’anya Zanzibar ushiriki wake na mali zake ambapo ni kinyume kabisa na misingi ya fundamental freedoms of UN bila ya kuibagua kutokana na kabila za watu wake,jinsia ya watu wake,lugha yao,dini yao na kadhalika, ambapo msingi mkuu ni kuheshimu na kuthamini haki zao.
*Kuipoka au niseme kuibia Zanzibar Fedha zake na rasilimali zake zote hata Rasilimali watu “Human resources”
*Kuwalazimisha na kuwaamulia mambo yao na mustakabali wao ambapo kulipelekea kutumiwa “Tanganyika’s Government seal ” uonekane ndio muhuri rasmi wa hio Jamuhuri bila ya kupatikana ridhaa yoyote ile toka Zanzibar.
*Kujivisha, kujifanya na kujikweza kama Zanzibar haipo na wala haipaswi kuwepo na kuifanya ionekane kama ni serikali ya kijiji au mtaa “municipality Government” Ambayo yote hayo ni kinyume na kabisa mkataba na madhumuni ya muungano huo.na makosa makubwa katika sheria za kimataifa.
Kwakweli tukijaribu kuyaorozesha yote inawezakana kabisa kukuchosha kusoma na kupoteza lengo hasa la wazo husika.
HALI HALISI NA UHALISIA WAKE :-
Muungano unao unganisha nchi mbili ni sharti na ni lazima uwakilishe sawa pande zote mbili na pawepo maridhiano kwa jambo lolote lile linalo husu huo muungano, ikiwa ni pamoja na muhimili mkuu yaani mkataba husika, katiba, na kufuatwa taaratibu zilizopo ili upatikane uhalali wa jambo lolote lilelinalo husu makubaliano ya huo muungano,na iwapo litapitishwa kinyume au kwa hila yoyote ile moja kwamoja linakosa hadhi na uhalali wa kuwa nila kimuungano.
Niwazi yapo mambo kadha wa kadhaa ambayo leo hii yamepitishwa kinyume na utaratibu uliokuwepo na hivyo kwa lugha nyepesi au ya wazi kabisa yote hayo ni batili .Pia tuna mifano mingi tuu iliokwisha tokea huko nyuma ambayo upande mmoja kujiona ndie mwenye mamlaka na dhamana na haki zote katika huo muungano.
Mfano mzuri ni muungano wa Egypty na Syria, nchi mbili huru hizi ziliungana na kuunda UNITED REPUBLIC OF ARAB, katika muungano huo Egypty ilijiona ndio wenye mamlaka na madaraka ya kuiwakilisha Syria katika mambo yao yote hatimae Syria kwa kuona na kutanabahi kwa kukosa maendeleo na uwakilishi wa mambo yao ikiwa na kukosa fursa hata ya kibiashara, mikopo na misaada kwa makusudi kabisa waziri mkuu ambae pia anahusika na mashirikiano ya kimataifa, mnamo tarehe 8 October 1961, alipeleka ujumbe wa maandishi “cable” kwa Rais wa baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kumtaka irudishie Syria kiti chake kwenye umoja huo, ikiwa ni nchi ilio huru, Rais aliiruhusu Syria kuchukua kiti chake mara moja.
Hapa kuwepo tena hila na baraza la umoja huo mnamo tarehe 19 July 1962, Syria ilimtaarifu Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa juu ya uamuzi wake huo kwa mujibu wa sheria zilizopo.
Ni imani yangu kabisa kifungu cha dhamira ya Umoja wa Mataifa , kinakosa kuwafaidisha Wazanzibari kifungu hiki kifuatacho:-
Article 1 the Purposes of the United Nations are: 1-4
“3.To achieve international co-operation in solving international problems of an economic, social, cultural, or humanitarian character, and in promoting and encouraging respect for human rights and for fundamental freedoms for all without distinction as to race, sex, language, or religion; and”-“
4. To be a centre for harmonizing the actions of nations in the attainment of these common ends.
Kifungu hichi kwa njia moja ama nyingine kinakosekana kutekelezwa kwa uhalisia wake na kuwafaidisha wanzanzibari kutokana msingi wa kikatiba na maridhiano ya Muungano kwani mambo mengi hapa yanaihusu Zanzibar pekee au hayamo katika makubaliano ya Muungano, hivyo Zanzibar inakosa uwakilishi wake ipasavyo.
Hebu tuuone mfano huu:-
“LETS US TO ASUME” Wakati Tanzania inapatiwa mkopo kuboresha kilimo , viwanda Biashara za ndani Elimu Majenzi na makaazi afya na utibabu na yote ambayo hayamo katika mambo yalio kubalika kimuungano mgawanyo wake uko vipi? Kwa sababu zanzibar haiwezi kusima kama nchi kwa kisingizio cha muungano na kukopa wala kufanya biashara jee ile dhana ya UN iko wapi?
Wanzanzibari hawapati uwakilishi wao ipasavyo kutokana na mila na utamaduni wao, dini yao kama ilivyo kwa upande wa Tanganyika.
Tanganyika”Tanzania” wanapata uwakilishi katika dini ya wakisto katika jumuia za kimataifa kwani kumepelekea kuwepo ubalozi wa Vatican,amaa kwa upande wa Zanzibar wao mila na desturi zao ni Uislam ni asilimia 99% lakini hawana nafasi ya uwakilishi, hata kwa waislamu wa Tanganyika pia hawana uwakilishi kisheria chombo chao cha uwakilishi ni BAKWATA ambacho chombo hichi ni NGO, haina uwezo wa kisheria, tafauti kabisa na Zanzibar ambapo kwayo wana chombo cha kisheria yaani ofisi ya kamisheni Wakf na maali ya amana, taasisi hii imo ndani ya mfumo wa Serikali Kuu ya Zanzibar,iliona ipo haja ya kuweka daraja ya kuwawakilisha wazanzibar na jumuiya za kimataifa na ndiko kuliko pelekea kujiunga na OIC,loo salale!!! Sote tuna jua kilicho tokea baada ya hapo,hebu tujiulize suali ikiwa huyu alie jivika mamlaka ya kuwakilisha jumuiya husika hana mlakhaka mzuri na hio jumuia jee unategemea nini hapo? Mimi mtazamo wangu kikubwa kilicho angaliwa hapo ni kuyaunganisha majambo na uhalisia wa jambo lenyewe” misconceptions for generalized of nature complement” ukiangalia kilichopo hapo Tatizo ni huu uislam tuu wamefutilia mbali faida itakayo patikana hapo kijamii na uchumi kwani hio ndio dhamira kuu ya jumuia hio ya OIC, suali liliopo hapo kama Tanganyika au Tanzania wamejivika mamlaka ya kuiwakilisha Zanzibar katika mila, desturi yao na dini yao jee hawa waliojikweza watafanya wajibu huo?jibu haitowezekana hata siku moja kitakachotokea au kilichopo hapo ni ubabaifu na undanganyifu tuu hio ndio hali iliopo kwa kweli.
Kutokana na hali hiyo ni wazi kunahitajika hali ya mtazamo husika ”concepts of the conditionals”
*Kubadilisha upeo wetu wa fikra
*Ubunifu ”intendenty of audiency”
*Matendo, utekelezaji na mipango.
SIASA NA UTENGEMANO WAKE:-
Tokea nchi mbili hizi kuungana hajapatapo hata maramoja kupita muongo pasiwepo na sese seke la kisisa linalo ikumba hiyo Tanzania na mshirika wake Yaani Zanzibar.hii yote nikuonyesha ni kwakiasi gani muungano huo ulivyo kosa nguvu ya kisheria ya kusimamishwa na kuwekwa, naamini leo hii kama pangalikuwepo ushirikishwaji wa wananchi wa nchi mbili hizi toka awali muungano huu usingelalamikiwa na upande wowote ule., leo hii Tanzania wanalamika na Zanzibar nao pia, ama kwa kukosa baadhi ya fursa zilizopo Zanzibar , wakati wa Zanzibar wanapata fursa huko Bara, lakini hapa pana utamaduni uliojengeka ambapo bara wao wanajifanya wana haki zote na muungano kwani wao ati hawana serikali, zaidi ila ya muungano, nikichekesho kidogo tutakuja kuona huko mbele,Lakini Zanzibar wao wahatakiwi waseme chochote kuhusiana na muungano huo, kama vile mtawala na mtawaliwa na huu ndio ukweli hasa uliopo..
Nchi mbili hizi zilipo weka mkataba bandia wa kuziunganisha kila nchi ilikuwa na rasilimali zake na hazina yake pia ambapo katika mkataba huo hapakuwepo na makubaliano ya kuunganisha rasilimali zao ikiwa ni pamoja na Hazina yao pia, Kila nchi ilikuwa na uwezo wake wa kichumi, lakini nilikwisha kusema dhamira ya muungano huu ni kwamba ulijaa hilba na ujanja ikapelekea kuipoka Zanzibar kila kilicho chake, kama Vile Kiti chake katika umoja wa mataifa bila hata Zanzibar kutangaza ya kwamba wamerizia hayo ila kilicho fanyika baada Katibu Mkuu UN wakati huo kuuliza, Tanganyika walicho kifanya ni kionyesha kiburi ”Declamation” labda niseme umoja wamataifa wakati huo ilikuwa haingilili sana mambo ya siasa ya nchi na nchi mpaka hivi karibuni ndio sasa wanajaribu kujihusisha kikamilifu na mambo ya siasa pale ambapo wana hisi haki haikutendeka na wahusika wanadai haki zao ndiko kuliko pelekea hii leo baadhi ya nchi kudai na kumeguka ama kujitenga.hususan baada ya azimio maarufu litwalo Vienna convention 1978.
Lini Zanzibar ilipoteza hadhi yake na uwakilishi wake?
Jawabu Zanzibar bado ni mwanachama isipoku wame asi kiti chao wenyewe
Kimtazamo wa kijuu tuu tena wenye utashi usio zingatia msingi wa kisheria za kiulimwengu Zanzibar ilipotezewa kiti chake na uanachama katika Umoja wa mataifa mara tuu hilba kubwa ilipo tumika na kuuhadaa ulimwengu mnamo tarehe 6 May 1964.
Kilicho tokea mnamo tarehe hiyo Waziri wa Mambo wa Nje Tanganyika alimuandikia barua Katibu mkuu wa umoja wa mataifa barua naomba nii nukuu hapa””
”following the signature and ratification of the Articles of Union between the Republic of Tanganyika and The people’s Republic of Zanzibar, two countries had been united on 26 April 1964, as one sovereign state under the name of United Republic of Tanganyika and Zanzibar.”
Baada ya barua hii kulipelekea Katibu mkuu wa umoja wa mataifa nae aliuliza pia , jee Zanzibar imeridhia kwa hilo?
On 2 November 1964 The Secretary- General was informed in a communication that the name of the state has been Change into UNITED REPUBLIC OF TANZANIA.
Hapa pana walakini kidogo huu mkataba wa makubaliano una someka vipi hasa
Please notes: – WHEREAS by Articles of Union entered into between the Government
Of the Republic of Tanganyika and the Government of the People’s
Republic of Zanzibar on the twenty-second day of April, 1964, it was
Agreed that, subject to the enactment of laws by the Parliament of
Tanganyika and by the Revolutionary Council of the People’s Republic
Of Zanzibar acting in conjunction with the Cabinet Ministers thereof
Ratifying the said Articles and providing for the Government of the
United Republic and of Zanzibar in accordance therewith, the said
Republics shall be united in one Sovereign Republic:
Sasa hapa panajengeka masuali mengi kabisa leo hii kila mtu anaelewa tarehe 26 APRIL 1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana na ulimwengu mzima unaambiwa hivyo badala ya tarehe 22 APRIL 1962, na kama mkataba unavyo eleza mkataba tayari umeshakua ni sheria kutokana na sheria la bunge la Tanganyika pamoja na baraza la mapinduzi la jamhuri ya watu wa Zanzibar, sasa mbona kote duniani kunaeleweshwa hivyo kwa kutumwa taarifa sehemu mbali mbali na hao waliojipa madaraka yakufanya hivyo, hali yakua walishindwa kuelewa ya kwamba popote pale panapo husiana na mataifa mawili ni lazima wote hao wathibishe jambo hilo lakini hili halikufanyika hivyo jee nini taathira yake labda pengine tarehe sio jambo la muhimu “be at an issued”la muhimu hapa makubaliano yote hayo sio sahihi kwani yana upotoshaji mkubwa.
Hebu angalia mifano hii ambapo upande mmoja ulipeka barua kwa UN yakwamba imeungana na nchi nyingine lakini moja haikuridhia “declaration” na jee inakubalika na chombo cha sheria kiulimwengu ILC ?
Both “neither” does it really seem to matter very much when and by whom the notification is transmitted to the Secretary-General, in case of the UAR, Tanzania and Germany the notification was sent by the Ministry of Foreign Affair of the successor state. This is in conformity with the provisions of the Vienna Convention, letter sent by the GDR Prime minister several day before the official unification of the Germany took place can been seen as a sort of preliminary notification. Subordinate to the letter communication.
Only in the case of Yemen did both Ministers for foreign Affair of the predecessor states inform The Secretary-General in joint letter and they did so even before the actual unification had been effected. Although Articles 38(3)(a)Vienna convention 1978 states that the notification shall be transmitted by the successor state, this does not appear to have had any significance in the terms of the position taken by the Secretary-General or by the other member of the United Nations .
It should be noted however, the Secretary-General only act upon a specific notification by the successor state, for example, a devolution Agreement is in itself not enough and neither is general unilateral declaration.
Basi nasi tunapaswa kuelewa jee barua hio ipo na jee sahihi yanani iliridhia hilo kwani sote tuna elewa hata hio hati ya makubaliano ina sahihi ya pande moja tuu na kila ifikapo tarehe hizo huonyeshwa picha ya Karume na Nyerere wameinamia mezani niseme wameinamia mezani kwani mpaka hii leo hio documents iliotiwa sahihi na viongozi hao hajaonekana kana ipo iko wapi? Na kwa nini mpa leo hii iwe ni siri?
Zingatio hapa
“ To note that the united Republic of Tanganyika and Zanzibar declares that it is now a single member of UNITED Nations bound by provisions of the charter, and that all International Treaties and agreement in force between [Tanganyika] or[Zanzibar] and other states or international organization will, to the extent that their implementation is consistent with the constitution position establish by the Articles of Union, remain in force with the regional limits prescribed on their conclusion and in accordance with principles of the international law 76”
References:- zitafuata sehemu ya pili
Kuto kuheshimu makubaliano, maridhiano ya Mkataba
Tanganyika na Zanzibar zimeungana kwa njia moja ama nyingine, iwe ya Kimaumbile, kisheria au kimabavu, kwa vyovyote vile hilo lipo na litabakia kuwepo na hata ikija ikatokea siku moja Kutengana lakini historia itabakia hai na karne na karne watasimulia juu ya Tanganyika kuungana na Zanzibar.
Kinadharia na kadiri ya kujua kwangu baada ya kupata kuuliza wale wenye taaluma, kuhusiana na upande mmoja
Kuto kuheshimu makubaliano jee makubaliano hayo yana yanabakia na makusudio yake au yana tenguka? Suali hili lina weza likazusha mjadala pengine tukapata maana tofauti kwani utaona maridhiano hayo yana tegemea juu ya hayo makubaliano yenyewe pia. Lakini kwa upande wangu mimi ninaangazia Makubaliano ya kuunganisha baina ya nchi na nchi “The uniting of states in respect of treaties” Katika Articles of Union Tanganyika and Zanzibar ilitoa fursa kwa Rais wa hio Jamuhuri awe ndie mwenye wajibu juu mambo Yanahusu mikata ya kisheria kwa nchi za nje ikiwemo pia hata mahusiano ya kimataifa, na wakati huo huo Zanzibar ilibakia au neseme waliweka chombo chao cha kutunga sheria zote.
HAPA KUNA JAMBO MOJA MUHIMU SANA LA KUVUTIA HEBU ANGALIA KWA UNGALIFU SANAA
In the Act of union of Tanganyika and Zanzibar no mention is made of the consequences of the uniting of both states as far as treat relation are concerned 78
As the International law [ILC] noted, there are particular circumstances which make this a rather special case.
When it became an independent state in 1962, Tanganyika did not enter into a devolution agreement with the United Kingdom [79], instead, Tanganyika made a unilateral declaration stating its position with regard to treaties in force in respect of its territory. In this declaration Tanganyika gave notice that pre-independence treaties would continue to remain in force on a provisional basic during an interim period of the two years from the date of independence, during which time the terms of all these treaties would be examined and a decision would be made on whether these treaties would be Examined and a decision would be made on whether treaties would remain in force or would be terminated or renegotiated the declaration became known as the Nyerere declaration [81]and it was the first its kind to be issued by NIS
Thus, as the ILC concluded, while Tanzania recognized the possibility that some treaties might survive by the application of the rules of customary law, it clear considered itself free to accept or reject pre-independence treaties.
This meant that at the moment when the union became established many of the pr-independence treaties had already terminated or were in force only provisionally. Zanzibar was generally considered not yet to bound by any treaties at the moment when joined the Union.
Zanzibar na uanachama wake kwenye Umoja wa Mataifa
“Zanzibar and United Nations Membership”
Ufafanuzi:- Uridhiano
Tanganyika “Tanzania” hawakuwa na haki ya kuridhia na wao wathibitishe ya kwamba Tanganyika na Zanzibar wameungana na ni nchi moja yenye chombo kimuja cha kutunga sheria ikiwa pia na dola moja “one sovereign state” bila ya Zanzibar nawao kuthibitisha hilo, ni wazi ile haki ya kuheshimiana baina ya mataifa ime kiukwa na ni kinyume kabisa na Kanunu za umoja wa mataifa, vile katia ya mataifa mawili huru Zanzibar na Tanganyika juu ya maridhiano ya awali kuunda hiyo jamuhuri tokea awali ya muungano huo bila shaka yoyote unaonekana wazi kabisa njia iliotumika haikuwa sahihi na wala haikubaliki vile vile haifahamiki zaidi ni kuufanya muungano huo uwe ni mazingaumbwe tuu “vast complicated”
Muungano huo hauna tofauti yoyote na ule wa Egypt na Syria kuliko pelekea kundwa kwa jamuhuri ya Muungano wa kiarabu United Arab republic UAR, muungano hiyo hayakuanzisha kitu chochote kipya na kigumu kutokana na misingi ya sheria za kimataifa ILC kwani kesi hizi mbili ufafanuzi na msingi wake uko kwenye nji hizi tatu:-
……….a) the fact that prior each uniting both component regions were internationally recognized as fully independent soveign states:
……….b)the fact that in each case the process of uniting was regarded not as the creation of wholly new sovereign state or as the incorporation of one state into the other but as the uniting of two existing sovereign state into one.
……….c)the explicit recognition into each case of the continuance in force of pre-union treaties of both component states in relation to, and relation only their respective region, unless otherwise agreed.
CONCLUTION:-
The provision on the uniting of states in Part 1V of Vienna convention 1978 as well as the ILC draft articles, are to a large extent base on the experiences with the UAR and Tanzania. They refer to case of merger or fusion as it is sometime called. That is when two states continue their existences as single state and this included case of the total incorporation of the one state into another.
There have not been that many cases throughout history which do comply with criteria for a merger of states as they have been identified by the ILC. All other historical case referred by the ILC has more or less been left a side with the argument that they were of different nature.
These case either involve the constitution of federation (e.g., the Swiss federation of 1848 and Germany federation of 1671 or a “really union”(e.g. ., Norway and Sweden in 1814.
Feel free to contributed,
By
MZIMBA LIMBULIJAGE MPINGA.
mimi na uliza cuf ina wabunge wengi na wawa kilishi wengi kwakweli imeshinda lakini hatuoni maendeleo yoyote ilikuwa wanyeshe mfano sasa je nikiwa kama mpiga kura na nimpenzi wa cuf je nauliza lengo lao kutuona sisi tuna kipenda chama tu au tunahitaji hayo mabadiliko na mabadiliko gani wame fanya mpaka sasa nijibu niweze kukipa kura au utaniacha nitizame matokeo tu kwangu iwe sama kwavile nitaacha kukipigia kura niechoka kuchezewa kwangu ni aibu kuona mwakilishi wa mkoani kipindi kilochita kukataliwa na umma mbele ya kiongo mkuu halafu akamuombea hatmae katusalitu na ndio maana tuka wapiga na chini na bado hatudanga nyiki tena
Kwanza hongereni viongozi wa CUF kwa kazi nzuri ya kutufikisha katika masikizano ya kupita kwa kura ya maoni!! lakini ninataka kutanabahisha kuhusu idadi ya wale ambao hawakupiga kura ya maoni kuwa inatisha!! watu 114,630 si kidogo!! wasi wasi wangu kuwa watu hawa wameandikishwa spea kwa madhumuni ya kuiba kura 2010 , oct!! jamani mti na macho!! wakati ndio huu !!
Wekeni na picha za Bara, kwani picha zimejaa za Zanzibar tu na zote ni za katibu mkuu. Badilisheni muonekano wa chama
mimi nakipongeza chama cha CUF kwa kuwa ndio chama pekee cha siasa za kweli tanzania.
Ila ombi langu kwa viongozi wa Taifa wa chama ni kuhakikisha wanakipa sapoti ya kutosha chama maeeneo ambayo moja kwa moja tunakila sababu ya kushinda.
kuliko kuwaachia viongozi wa kata peke yao kwani viongozi wetu wa kata hali zao ni duni hivyo ni rais kurubuniwa kwa pesa
sisi wakazi wa makumbusho tuko tayari kuhakikisha kata inakuwa chini ya utawala wetu ifikapo oktoba 31 je mashaka yetu viongozi wa wilaya huwa hawatupi saport mfano ofisi za wilaya ziko kata ya makumbusho mtaa wa mwananyamala kisiwani
cha kushangaza ndani ya mtaaa kuna kikundi cha uhamasishaji maarufu FUSO vijana wapiga kazi wanashawishi kila baada ya kupiga jalamba round moja wanachama na washabiki zaidi ya kumi hujiunga na cuf basi ombi kwa viongozi wa kitaifa jaribuni kuwasapoti kama mungu akipenda kata hizi vijana wanata ziwe mali ya CUF ya makumbusho mwananyamala tandale na kinondoni ila iwapo tu wilaya itawapa sapoti
shabani mbugi
[kapalua]
kata makumbusho
tawi kisiwani ngangari
ndugu wadau nauliza hivi?
hivi CUF ni chama kinacho tetea haki za wazanzibari au kipo kwa maslahi ya watanzania wote, inawezekana cc wabara hatuhusiki!
WAZANZIBAR WENGI HUFA KWA KUTUMIA CHAKULA KIBOVU NA MADAWA YALIOKUWA YAMESHA MALIZA MUDA WAKE NA HUBANDIKWA LEBO FAKE. JEE CUF MUTA LISHUHULIKIA VIPI TATIZO HILI? INAONEKANA CCM -SMZ WAMESHINDWA NA MASKINI WA ZANZIBAR HUTUMIA MAMILIONI MENGI YA PESA KUJITIBU INDIA NA WENGINE HUSHINDWA NJIANI NA KUSUBIRI KIFO.FREE-PORT KWA SMZ NI KUPITISHA MADAWA MABOVU KUA RAIA WAO NA VIGOGO KUTIBIWA ULAYA. KINACHO ANGALIWA KTK FREE-PORT NI POSHI HUNA BASI HATA SHEHENA YAKO YA MADAWA AU CHAKULA IWE UP TO DATE UNAMBIWA FAKE. HUU NDIO UZAIFU WA SEREKALI YETU.
honngeleni sana kwa maandalizi mazuri.
mimi naona mnaandaa sana azingira mazuri ya kampeni. tujaribuni kuimarisha sana na sana upande wa mawakara wetu. kwani wakara ndiye mtu pekee anayekuwa wakiri wa chama wakati wa UCHAGUZI. Watengenezeeni mazingira mazuri wa kufanya kazi zao. pia kuwe na usalii wa kutosha nchi nzima kuhakiki uanachama wa mawakara hao
honngeleni sana kwa maandalizi mazuri.
mimi naona mnaandaa sana azingira mazuri ya kampeni. tujaribuni kuimarisha sana na sana upande wa mawakara wetu. kwani wakara ndiye mtu pekee anayekuwa wakiri wa chama wakati wa UCHAGUZI. Watengenezeeni mazingira mazuri ya kufanya kazi zao. pia kuwe na usaili wa kutosha nchi nzima kuhakiki uanachama wa mawakara hao
kwanza nawapa hongera viongozi na wana cuf kwa kufanya kampeni za kistarabu,chama bado kinakubalika japo wanabanakutangazakwenye magazeti, ombi langu,chama kiongeze nguvu maeneo ya kusini maana naona tokea prof,aliposema anauhakika na maeneo hayo baba,mama,na mwana wamekwenda sana kuokoa jahazi.
mimi sina mengi ila natoa pongezi kwa aliyeweka web hii na nawapa pongezi viongozi wetu wote wa cuf
AHSANTE
Ombi kwa Wanachama wenzangu
Mimi naomba kutoa maoni yangu ya kwamba muda mrefu sisi wanachama tumekuwa tukichangia michango mbali mbali kwa Chama chetu juu ya hali ngumu ya maisha iliyotukabili na inayoendelea kutukabili bila ya shaka sote tunafahamu tulikotoka na tunakokwenda bila ya shaka hapa tulipofikia juu ya mustakbali wa nchi yetu mimi binafsi sijaridhishwa juu ya Uundwaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa vigezo vilivyopo kwa mfano Makamo wa Kwanza wa Rais hana mamlaka ya moja kwa moja ya Maamuzi ya Utawala hapa maana yake Rais pekee ndio mwenye Maamuzi ya Utawala sasa hapa ndio mimi napata shida kwa Ufahamu wangu mdogo Sijui ni kwa nini Kiongozi wetu, Katibu, Maalim seif(M.1.Rais) hasemi katika hotuba zake kwamba bado yeye ni kiongozi wa upinzani nina maana tukiwauliza viongozi wetu wabunge,wawakilishi ya kwamba mbona wizara ya afya inaongozwa na CUF lakini bado huduma ni mbaya zaidi, biashara ovyo na mengineyo wao hutujibu Rais ndio mwenye mamlaka Makamo yeye ni mshauri tu na yeye Maalim kwenye hotuba anajisifu mimi nimo kwenye serikali HEBU MSITUCHANGANYE KABISAA ilimradi hamfahamiki kama nilivyotangulia kusema muda umefika suala la michango ya kifedha sisi wanachama kuanzia leo tusitoe kabisa wako kwenye Serikali Fedha za walipa kodi(sisi wananchi) wanazipata tunahitaji sasa tuwaone wafanye kazi inavyostahili. Ahsante
tafadhalini kuweni mnajibu swali liloulizwa
Hmm it seems like your blog ate my first comment (it was extremely long)
so I guess I’ll just sum it up what I had written and say, I’m thoroughly enjoying your blog. I as well am an aspiring blog writer but I’m still new to everything. Do you have any suggestions for inexperienced blog writers? I’d really appreciate it.
Mimi maoni naomba mwenyekiti taifa aende nyumbani tabora maana inajengeka taswila kwamba hanauchungu na ndugu zake na ndio maana haendi hata kuwatembelea. Nyumbani ni nyumbani