KATIKA utamaduni wetu wa Kiswahili tuna usemi usemao: ‘Ukimstahi mke ndugu huzai naye.’ Staha na kuoneana haya ni miongoni mwa sifa za uungwana wetu. Hata hivyo, kuna nyakati ambapo huwa hatuna budi ila tuziweke kando sifa hizo ili tuweze kuambizana ukweli kwa madhumuni ya kujenga, si kubomowa. Read the rest of this entry »
Wakati umefika kuzungumzia Ajenda ya Zanzibar
19 01 2012Comments : Leave a Comment »
Categories : Haki za Binaadamu




Maoni