
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na balozi mpya wa Tanzania nchini Misri balozi Mohd Hamza aliyefika Ofisini kwake Migombani kwa lengo la kuagana nae wakati akijitayarisha kuripoti katika kituo chake kipya cha kazi nchini Misri. (Picha, Salmin Said OMKR).
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Zanzibar na Misri zina uhusiano mkubwa wa kidugu na kihistoria katika nyanja za kiuchumi, kijamii na maendeleo na kuna haja uhusiano huo ukaendelezwa na kuimarishwa zaidi. Read the rest of this entry »




Maoni