Ni dhahiri kwamba huu ni wakati ambao nchi imekuwa ikikabiliwa na mfululizo wa misiba katika ngazi mbali mbali kuanzia familia, jamii, na taifa kwa ujumla. Hii ni hali ambayo kwa namna moja au nyingine imekuwa ikihitaji tafakari ya kina, juhudi za makusudi, na ikibidi hatua za dharura, ili kukabiliana na athari za matukio hayo au kuweza kuyaepuka kabisa pale inapowezekana. Read the rest of this entry »
“Taifa lapitia kipindi kigumu cha maafa”
6 01 2012Comments : Leave a Comment »
Categories : Haki za Binaadamu




Maoni