Haya ndiyo maamuzi ya Baraza Kuu CUF

5 01 2012

Naibu Katibu Mkuu (Bara), Julius Mtatiro

Baraza kuu la uongozi la taifa la THE CIVIC UNITED FRONT (CUF – CHAMA CHA WANANCHI) limemaliza kikao chake cha siku moja katika hoteli ya MAZSONS mjini Zanzibar limepokea tuhuma zinzowakabili viongozi na wanachama 14 wa chama kutoka kamati ya utendaji ya taifa. Read the rest of this entry »








Follow

Get every new post delivered to your Inbox.