Misingi Mikuu ya Uongozi wa Nchi: Mambo ya Nchi za Nje

27 09 2008

Kila Taifa ulimwenguni ni tegemezi kwa namna moja au nyingine. Masuala ya kibiashara, maendeleo ya mwanadamu, ulinzi na usalama, na kusaidiana wakati wa majanga kunalifanya kila Taifa lilazimike kuwa na mahusiano ya aina moja au nyingine na mataifa mengine. Read the rest of this entry »





Misingi Mikuu ya Uongozi wa Nchi: Ulinzi na Usalama

27 09 2008

Suala la Ulinzi na Usalama wa Taifa linapaswa kupewa uzito unaostahili. Read the rest of this entry »





Misingi Mikuu ya Uongozi wa Nchi: Mapambano Dhidi ya Rushwa

27 09 2008

Rushwa siyo tu kuwa ni adui wa haki, lakini pia ni adui mkubwa wa maendeleo. Rushwa ni saratani (cancer) inayoua uchumi na kuwanyima wananchi haki ya maisha na maendeleo. Rushwa katika Tanzania imekithiri sana. Kwa muda mrefu sasa Tanzania imekuwa ikihesabiwa kama moja ya nchi ambazo zimekubuhu sana kwa rushwa ulimwenguni. Read the rest of this entry »





Misingi Mikuu ya Uongozi wa Nchi: Matumizi ya Serikali

27 09 2008

Kasi ya maendeleo siku zote huamualiwa na mipango mizuri katika kuchagua vipaumbele wakati wa kuwekeza mtaji uliopo. Read the rest of this entry »





Misingi Mikuu ya Uongozi wa Nchi: Utumishi wa Umma

27 09 2008

Imethibiti kwamba maendeleo ya nchi yetu yamekuwa yakiathiriwa mno na matatizo ya wafanyakazi wa serikali kutozingatia kwa kiasi kikubwa kanuni, sheria na uwajibikaji. Read the rest of this entry »