Na Jabir Idrissa
NINA rais anayetajwa kwa umaarufu wake hadi Marekani ambako ameshafanya ziara mara sita – wastani wa safari moja kwa kila baada ya miezi mitatu – tangu Desemba 2005 alipoingia ikulu na kula, kunywa na kuteta na George W. Bush, kiongozi wa taifa hilo tajiri zaidi duniani. Read the rest of this entry »
Maoni