“Tunaamini kwamba, matukio haya ambayo yanazidi kufungua kurasa mpya za mahusiano ya vyama vya siasa katika Afrika, siku moja yatagusa ardhi ya Tanzania na hususan Zanzibar, ambako vyama viwili mahasimu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) vimekuwa vikivutana.”
Ya Zimbabwe tumeyaona, sasa bado ya Zanzibar
16 09 2008Comments : Leave a Comment »
Categories : Haki za Binaadamu
Profesa Lipumba ataka tume ya uchaguzi ibadilishwe
16 09 2008“Kilio chetu kikubwa ni kuitaka tume ya uchaguzi ijiuzulu, kwa sababu inashindwa kutekeleza misingi ya kidemokrasia kwa kushindwa kuimarishwa kwa mfumo wa utawala bora.” Read the rest of this entry »
Comments : Leave a Comment »
Categories : Haki za Binaadamu
Maoni