“Katika nchi kama yetu ambayo Watanzania walio wengi bado wanategemea sekta ya kilimo katika kujiendeleza kimaisha, udumavu huu wa ukuwaji na uchangiaji wake katika pato la taifa ni hatari kwa usalama wa nchi. Tukumbuke kuwa, katika dunia yetu hii ya sasa, suala la kilimo na chakula si suala la ustawi wa wananchi kijamii na kiuchumi tu, bali pia ni suala la kiusalama.”
Hotuba ya msemaji mkuu wa Kambi ya Upinzani Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2008/09 Read the rest of this entry »

Maoni